NEWS

BEN BREAKER TUZO GHANA

Mwaka huu unaonekana kuwa mzuri sana kwa Mwanamitindo(Model) na Msanii wa Dansi(Dance Artist) Ben Breaker hii ni baada ya kuchaguliwa kuwania Tuzo zingine za Odarteystyleandfashionawards za Nchini Ghana katika vipengele(category) mbili ikumbukwe kuwa mwaka huu pia Ben Breaker amechaguliwa kuwania tuzo za Star Qt za nchini South Africa katika vipengele(category) mbili za BEST ICON na PEOPLE’S CHOICE AWARD hivyo anakuwa na jumla ya vipengele(category) nne anazowania mwaka huu.
Ben Breaker amechaguliwa kuwania tuzo za Odarteystyleandfashionawards za nchini Ghana katika vipengele vya FASHIONISTA OF THE YEAR na ODARTEY STYLE PICTURE OF THE YEAR tuzo hizo zinategemewa kufanyika Accra Ghana

Related Articles

Back to top button